Wednesday, January 19, 2011

Amini usiamini msomaji wa blog hii ni ukweli

Amini usiamini hawa ni wanafunzi wenye ulemavu wa kutosikia kutoka shule ya St.Vinsent Ruhuwiko manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambao wote wamefaulu na kujiunga na shule za sekondari zikiwemo zenye vipaji maalum na kuifanya shule hiyo kukamata nafasi ya pili kwa kufaulisha katika mkoa wa Ruvuma picha na Albano Midelo.

No comments:

Post a Comment