Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Friday, January 28, 2011
Fukwe hizi nzuri kivutio cha utalii sio kwamba ni nje ya nchi ,zipo Tumbi ziwa Nyasa
Mbunge wa viti maalum wanawake mkoa wa Ruvuma na mjumbe wa bodi ya utalii Injinia Stella Manyanya akiwa katika fukwe nzuri za mlima Tumbi Kihagara ziwa Nyasa mkoani Ruvuma ambazo ni kivutio adimu na cha kipekee cha utalii nchini kutokana na ukweli kuwa fukwe kama hizi zinapatikana kwenye bahari kuu picha na Albano Midelo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment