Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Wednesday, July 6, 2011
Nyumba ya asili ya wazanaki kivutio cha utalii wa kiutamaduni
Hii ni nyumba ya asili ya kabila la wazanaki lililopo kaskazini mwa Tanzania ambayo imejengwa kwenye maonesho ya kimataifa viwanja vya mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam ambayo imekuwa ni kivutio cha utalii wa kiutamaduni na kusababisha idadi kubwa ya watu kwenda kupata maelezo ya nyumba hiyo picha na maelezo kuhusu nyumba hiyo na Albano Midelo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment