Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Sunday, August 14, 2011
Abiria wanachimba dawa ndani ya hifadhi ya Mikumi
Baadhi ya abiria ambao walikuwa wametoka mikoani na kuelekea jijini Dar es salaam wanapoamua kuchimba dawa au kwenda Lolindo ndani ya hifadhi ya wanyama ya Mikumi.Abiria hao walichukua uamuzi huo baada ya basi walilokuwa wanasafiria kuharibika ndani ya hifadhi hiyo picha na Albano Midelo.
Washindi watano wa Fellowship wakiwa ndani ya Bunge la Jamuhuri ya Muuungano wa Tanzania kusikiliza bajeti ya kilimo,waliokaa juu ni walimu wao pamoja na wafanyakazi wa Tanzania Media Fund TMF.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment