Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Sunday, August 14, 2011
Mwanamuziki Twenty Percenty ndani ya Songea
Mwanamuziki mahiri wa kizazi kipya Twenty Percenty ambaye mwaka huu amevunja rekodi ya kupata tuzo tano kwa mpigo akiwa ndani ya uwanja wa Majimaji akipiga ngoma maarufu ya Madogori ya kabila ya wangoni mwanamuziki huyo alikuwa anatumbuiza katika shindano la ngumu la kimataifa kati ya Benson Mwakyembe wa Songea na Rashid Matumla ambapo Mwakyembe aliibuka mshindi picha na Albano Midelo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment