Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Monday, September 19, 2011
Hongera sana Injinia Stella Manyanya kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa
Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni amemteua mbunge wa viti maalum wanawake mkoa wa Ruvuma Injinia Stella Manyanya kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Rukwa .Hongera sana mheshimiwa kwa kupata nafasi hiyo kubwa ,sina shaka wananchi wa mkoa wa Rukwa wanakusubiri kwa hamu ili waweze kushirikiana na wewe katika kujiletea maendeleo endelevu hasa kutokana na uwezo wako kiutendaji ambao ndiyo umemfanya Rais kukuteua.Matukio katika baadhi ya picha hizi hapa chini ni moja ya vielelezo ambavyo ulisimamia katika mkoa wa Ruvuma hasa kwenye sekta za uchumi na utalii tunakutakia kila la kheri.
1 comment:
Yasinta Ngonyani
September 19, 2011 at 12:34 PM
HONGERA SANA NA KILA LA KHERI DADA Stella Manyanya!!!
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HONGERA SANA NA KILA LA KHERI DADA Stella Manyanya!!!
ReplyDelete