Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Wednesday, January 26, 2011
Hifadhi ya wanyama ya Ntembo iliyoungana na ziwa Nyasa ni ya kipekee hapa nchini
Mbuga pekee ya asili ya wanyama inayoitwa Ntembo ambayo ipo kata ya Kihagara wilayani Nyasa mkoani Ruvuma ndiyo mbuga pekee ya wanyama ya asili ambayo imeungana na ziwa Nyasa kuna wanyama adimu kama pimbi,swala,samaki wa aina mbalimbali pia ndiyo chanzo cha hifadhi ya wanyama ya Liparamba ya wilayani Mbinga,ni mahali pazuri pa kufanya utalii,wengi bado hawaifahamu nenda leo ukashuhudie maajabu ya viumbe hai vya majini na nchi kavu picha na Albano Midelo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment