Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Wednesday, January 26, 2011
Nyumba ya asili ya kabila la wangoni kivutio cha utalii wa kiutamaduni
Nyumba ya asili ya kabila la wangoni ambayo ilikuwa inatumiwa na nduna wa kabila hilo chifu Songea Mbano ,nyumba hiyo imejengwa katika makumbusho ya Taifa ya Majimaji ilifunguliwa mwaka jana na mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dk.Christine Ishengoma,unaloliona karibu na nyumba hiyo ni kaburi la chifu wa kingoni nduna Songea Mbano ndani ya makumbusho ya Majimaji ambaye inaaminika kilizikwa kiwiliwili chake baada ya wajerumani kukata kichwa chake na kukipeleka nchini Ujerumani
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment