Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Wednesday, January 26, 2011
Hapa ni juu ya mlima Tumbi jirani na ziwa Nyasa kuna vivutio ambavyo haujawahi kuviona popote
Wadau wa utalii katika kata ta Kihagara wilayani Nyasa mkoani Ruvuma wakiongozwa na mjumbe wa Bodi ya utalii Injinia Stella Manyanya wakiwa katika mlima Tumbi ambao ni kitovu cha utalii katika kata ta Kihagara,hapo walipo wapaaminika kuwa na mamia ya kuku weupe ambao wanajitokeza wakiwa kwenye maji meupe kama theruji ,lakini jambo la kushangaza ukisogea karibu kuku wote wanatoweka na kubakia kama unavyopaona pia mlima huo una ndege aina ya kware watatu tu tangu zamani hawafi wala kuongezeka ni maajabu,hata hivyo uharibifu wa mazingira katika msitu huo unasababisha baadhi ya vivutio vya utalii kuanza kutokweka.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment