Tuesday, January 18, 2011

Moja kati ya aina 120 wa samaki wa mapambo ziwa Nyasa

Moja kati ya aina 120 wa samaki wa mapambo wanaopatikana katika jiwe la kihistoria la Pomonda Liuli ziwa Nyasa mkoani Ruvuma ambao wanauzwa katika nchi za ulaya na Marekani kwa kati ya shilingi 30,000 hadi 40,000 kwa samaki mmoja picha na Albano Midelo

No comments:

Post a Comment