Mmoja wa watalii wa kigeni akifurahi vivutio vya asili ya watu wa mwambao mwa ziwa Nyasa,hapa anasonga ugali wa mhogo ambao anakula na samaki wa ziwa Nyasa wanapikwa kwa asili ya makabila ya watu wa mwambao mwa ziwa Nyasa jambo ambalo linawavutia wengi wanaotembelea katika kata za Liuli na Kihagara mwambao mwa ziwa Nyasa picha na Albano Midelo
No comments:
Post a Comment