Tuesday, January 18, 2011

Mawe haya ambayo ni kivutio cha kipekee cha utalii yamepangwa na mwenyezi Mungu  tangu kuumbwa kwa ulimwengu yapo jirani na jiwe la Pomonda meta 300 ndani ya ziwa Nyasa nenda ukayaone picha na Albano Midelo

No comments:

Post a Comment