Tuesday, January 18, 2011

Moja ya vivutio vinavyopatikana katika jiwe la kihistoria la Pomonda Liuli

Moja ya vivutio adimu vya utalii katika jiwe la kihistoria la Pomonda Liuli ziwa Nyasa,hapa mtalii anaonekana akifurahia utalii wa kupiga mbizi katika jiwe hilo ambalo ni la asili lenye mazingira ambayo hayafanani na mahali pengine popote nchini Tanzania picha Albano Midelo

No comments:

Post a Comment