Saturday, January 15, 2011

Nyota ya Mbozi imesahaulika na kutoendelezwa licha ya kuwa kivutio pekee cha utalii nchini

Nyota ilioyoanguka katika kijiji cha Ndolezi wilayani Mbozi mkoani Mbeya mwaka 1840 ambayo ina vivutio lukuki vya kitalii,nyota hiyo ina  uzito wa tani 12,ikiwa na aina tano za madini,ndiyo nyota kubwa kuliko zote hapa nchini ,inakamata nafasi ya nane kwa ukubwa  duniani kati ya nyota zaidi ya 600 zilizoanguka,hata hivyo pamoja na nyota hiyo kuwa kivutio adimu,imesahauliwa,eneo lake lipo wazi kila mtu anapopita anaweza kuiona hali ambayo inasababisha kuikosesha serikali mapato katika sekta ya utalii picha na Albano Midelo.

No comments:

Post a Comment