Rais wa Zanzibar Dk.Ally Mohamed Shein alipotembelea makumbusho ya Taifa ya Majimaji ambayo ni maarufu katika mkoa wa Ruvuma hususani mji wa Songea ambao ni mji wa wenye utajiri wa utalii wa kishujaa na kihistoria (Picha na Melezo yote na Albano Midelo)

No comments:
Post a Comment