Monday, February 14, 2011

Hili ndiyo jiwe la Mbuji lililopo kata ya Mbuji wilayani Mbinga mkoani Ruvuma kivutio cha utalii

Picha inaonesha jiwe la kihistoria la Mbuji wilayani Mbinga mkoani Ruvuma ambalo lina maajabu mengi hivyo kuwa kivutio adimu cha utalii duniani

No comments:

Post a Comment