Wednesday, February 23, 2011

Ruhila hifadhi ya wanyamapori ya asili iliyopo mjini Songea mkoani Ruvuma

Mkuu wa kikosi cha kuzuia ujangili kanda ya kusini Metson Mwakanyamale akitoa elimu ya utalii na ikolojia kwa wanafunzi wa shule za sekondari walipotembelea hifadhi ya wanyamapori ya Ruhila iliyopo mjini Songea mkoani Ruvuma ambayo ina vivutio vingi vya utalii picha na Albano Midelo
Msimamizi mkuu wa hifadhi ya wanyamapori ya Ruhila na mkuu wa kikosi cha kuzuia ujangili kanda ya kusini Metson Mwakanyamale akitoa maelezo kuhusu hifadhi ya wanyamapori ya Ruhila kwa wanafunzi wa sekondari.Hifadhi hiyo  ipo kilometa nane tu kutoka mjini Songea ina ukubwa wa hekari 600 ikiwa na wanyama kama pundamilia pamoja na viumbe wengine muhimu picha na Albano Midelo.

No comments:

Post a Comment