Tuesday, February 1, 2011

Wanafunzi viziwi madarasa matano wanasoma katika chumba kimoja hii ni haki kweli?

Picha inawaonyesha  baadhi ya wanafunzi viziwi kutoka shule ya Rahaleo Halmashauri ya manispaa ya Mtwara Mikindani  ambapo wanafunzi kuanzia darasa la kwanza hadi la tano wanasomea katika chumba kimoja cha darasa,unaowaona nyuma yao ni walimu wa wanafunzi hao ambao wamekata tamaa kufundisha katika mazingira kama hayo.

No comments:

Post a Comment