Monday, February 14, 2011

Watu wengi mashuhuri wanatembelea makumbusho ya Taifa ya Majimaji

Picha inamuonsha mhifadhi kiongozi wa makumbusho ya Taifa ya Majimaji Philipo Maligissu akimtembeza spika mstaafu  Samwel Sitta katika maeneo mbalimbali ya makumbusho hayo.

No comments:

Post a Comment