Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Tuesday, July 12, 2011
Ajali za barabarani zinatisha barabara ya Iringa-Dar es salaam
Nimekuwa nikisafiri mara kwa mara katika barabara ya Iringa hadi jijini Dar es salaam,jambo la kutia mashaka ni kwamba kila ninaposafiri nimekuwa nakutana na ajali za barabarani kama hii hapa gari dogo liligongwa kwa nyuma na basi hali iliyosababisha gari hilo kupinduka mara manne hata hivyo watu wawili waliokuwemo katika gari hili walinusurika ni kutokana na kufunga mikanda picha na Albano Midelo
Hii ni ajali nyingine ya Roli ambayo ilitokea katika barabara ya Iringa -Dar es salaam.Gari hili lilinusurika kutumbukia kwenye mto Ruaha baada ya kunasa kwenye miti mikubwa iliyoota ufukweni mwa mto Ruaha picha na maelezo na Albano Midelo ambaye alishuhudia ajali hii.
Hapa ni ajali nyingine mbaya ya barabarani katika eneo la Morogoro ambapo magari makubwa ya mizigo yaligongana uso kwa uso kama unavyoona ni hatari sana,hata hivyo watu wote waliokuwemo ndani ya gari hili niliambiwa walinusurika kifo huwezi kuamini .Chonde chonde madereva tuzungatie usalama barabarani.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment