Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Tuesday, July 12, 2011
Timu ya soka ya walemavu viziwi Nyanda za juu kusini yatwaa kombe la UMITASHUMTA
Kocha mkuu wa timu ya walemavu viziwi Nyanda za juu kusini Mwalimu Mpepo akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wa soka katika mashindani ya UMITASHUMTA kitaifa ambayo yamefanyika kwa wiki mbili Kibaha mkoani Pwani.Timu hiyo ya walemavu viziwi ilifanikiwa kutwaa kombe la mpira wa miguu Taifa .
Baadhi ya wachezaji viziwi wakiwa na walimu wao wakishangilia baada ya kunyakuwa ubingwa wa soka kitaifa ulikuwa unawaniwa na kanda tisa hapa nchini .Timu hiyo inaundwa na wachezaji wanane kutoka shule ya viziwi ya mtakatifu Vinsenti Ruhuwiko Songea pamoja na shule ya Mtwivira Iringa wachezaji wanne.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment