Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Sunday, July 24, 2011
Jubilei ya miaka 50 ya uhuru na mfumo huu wa upishi?
Huyu ni mwanamke mmoja aliyekutwa wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma akipiga ugali wa mahindi kwa mfumo wa kizamani yaani matumizi ya mafiga matatu,kutumia kuni ambazo zinatoa moshi mwingi kwa mama huyu katika karne hii ya 21 ambayo inasisitiza maendeleo katika teknolojia una maoni gani kuhusu hali hii?
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment