Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Tuesday, August 23, 2011
Usafiri ni mgumu nauli shilingi 40,000 ndani ya wilaya
Picha inawaonesha wasafiri wanaotoka mjini Mbinga mkoani Ruvuma kuelekea katika kijiji cha Darpori kilichopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji umbali wa kilometa 82 ambapo hutozwa nauli ya shilingi 40,000 .Safari huchukua wakati wa masika siku mbili hadi tatu,hata hivyo pamoja na abiria kutozwa nauli kubwa hukaa juu bodi la gari au kushikilia bomba kama wanavyoonekana pichani
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment