Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Thursday, September 1, 2011
Magunia yaMahindi yamekuwa wachezaji wa mpira?
Katika hali inayokatisha tamaa katika mkoa wa Ruvuma ni pale serikali kushindwa kujenga maghala ya kuhifadhia mahindi baada ya kununua kutoka kwa wakulima ambao mwaka huu wamezalisha katika kiwango kikubwa.Kutokana na hali hiyo serikali sasa imeamua kununua mahindi na kuyahifadhi kwenye uwanja wa michezo wa Zimanimoto mjini Songea kama mahindi yanavyooonekana katika picha ,katika mazingira kama haya kweli dhana ya kilimo kwanza itatekelezeka?Hivi serikali haikujua kuwa wakulima wamezalisha kwa wingi mahindi hivyo ili kujiandaa kujenga maghala ya kuhifadhia mahindi picha na maelezo na Albano Midelo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment