Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Thursday, September 1, 2011
Malkia wa mchwa haonekani kirahisi,kumpata ni bahati
Huyu ni malkia wa mchwa ambaye kazi yake ni kutaga mayai na kuzaa mchwa muda wote.Mchwa ni wadudu waharibifu kwa kuwa wasipodhibitiwa wanaweza hata kuangusha nyumba.Wataalamu wa mchwa wanasema ili kumaliza tatizo la mchwa ni lazima umtafute malkia na kumuua vinginevyo hata ukinunua dawa za gharama kubwa mchwa wanaendelea kuzaana na kuleta uharibifu mkubwa.Huyu ni malkia wa mchwa ambaye amepatikana nyumbani kwangu baada ya kutafutwa na mtaalamu wa mchwa bwana Esau Nyimbi hivyo kumaliza tatizo la mchwa picha na maelezo na Albano Midelo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment