Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Wednesday, October 12, 2011
Chonde Madereva muwe makini mnapokuwa barabarani
Picha ninawaonesha baadhi ya abiria wakijaribu kumtoa dereva wa basi la kampuni ya Abood ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja baada ya kunasa katika vyuma kutokana na ajali iliyotokea kwenye eneo la Mafinga mkoani Iringa.Ajali ilitokea baada ya dereva wa basi hilo kuligonga kwa nyuma basi la kampuni ya Ottawa Express ambalo linafanya safari zake kutoka Dar es salaam hadi Songea.Basi la Abood linafanya safari zake kutoka Dar es salaam hadi Tunduma mkoani Mbeya.Katika ajali hiyo watu kadhaa walijeruhiwa na hakuna mtu aliyepoteza maisha picha na maelezo na Albano Midelo.
Baadhi ya abiria wakiwa wamesimama kuangalia namna baadhi yao wakiangaika kumtoa dereva wa basi la Abood aliyebanwa na vyuma vya basi katika ajali iliyosababishwa na dereva mwenyewe aliyegonga basi lingine kwa nyuma,ndiyo maana tunasema madereva wawe waangalifu barabarani.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment