Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Friday, October 7, 2011
Hatuwezi kuepuka ajali kwa ubebaji wa abiria wa aina hii
Gari hili lilikutwa na katika mnada wa Mbuyuni wilayani Chunya likiwa linaandoka katika eneo hili kuelekea jijini Mbeya likiwa limebeba wafanyabiashara wa mnadani kama unavyoona pichani.Siku hii ndipo gari lilingine likiwa limetoka kwenye mnada huu lilipata ajali kwenye mlima wa Msangamwelu na kuuwa watu 14 na kusababisha majeruhi kadhaa.Imekuwa ni kawaida kwa magari yanayokwenda mnadani katika mkoani Mbeya kubeba abiria bila kuzingatia sheria za usalama barabarani.Askari wa usalama barabarani pamoja na vyombo vingine vyenye mamlaka vimekuwa vinaona bila kuchukua hatua.Inapotokea ajali tunaanza kupeana salamu za rambirambi pamoja na kutafuta mchawi,tubadilike sasa kwa kufuata taratibu ili kuepuka ajali zisizokuwa za lazima picha na maelezo na Albano Midelo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment