Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Friday, October 7, 2011
Kanisa kongwe mkoani Mbeya,lina miaka zaidi ya 100
Hili ni kanisa la Parokia ya Galula lililopo wilayani Chunya mkoani Mbeya.Kanisa hili ni la pili kwa kuwa na umri mkubwa jimboni Mbeya,lina miaka 102.Kanisa la kwanza kwa umri mkubwa katika jimbo katoliki la Mbeya ni kanisa la Parokia ya Mkulwe lililopo wilayani Mbozi picha na maelezo na Albano Midelo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment