Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Monday, October 3, 2011
Mazingira magumu yanachangia elimu duni
Hapa ni nyumba ya walimu katika kijiji cha Darpori wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.Shule ina nyumba mbili tu za kuishi walimu,hali ambayo inasababisha familia mbili za walimu kuishi kwenye nyumba ambayo haitoshelezi hata familia moja,walimu wamekata tamaa ya maisha.Hii ni changamoto kwa serikali ya kijiji hicho chenye utajiri mkubwa wa madini aina ya dhahabu kujenga nyumba bora za walimu.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment