Maendeleo ni Vita

Pages

  • Makala za uchunguzi
  • Makala za utalii
  • Makala za Elimu
  • Makala za mazingira
  • Makala za kijamii
  • Habari katika picha

Sunday, October 2, 2011

Umwagaji wa sumu katika mto Lunyere unaanzia nchini Msumbiji

Hapa ni kitongoji cha Songeapori kilichopo mpakani na nchi ya Msumbiji ambapo wachimbaji wadogo wadogo akiwa mmoja mmoja wanatumia zebaki kusafishia udongo wenye dhahabu na kusababisha uchafuzi wa maji ya mto huo ambao unategemewa na viumbehai akiwemo binadamu wilayani Mbinga.Mto huo unaingia katika pori la wanyama la Liparamba ,kuungana na mto Ruvuma kisha kumwaga maji yake katika Bahari ya Hindi.Wataalamu baada ya kuyapima maji ya mto huo wamesema maji hayo hayafai kwa matumizi ya binadamu na viumbe hai kutokana na viwango vya sumu kupita vinavyokubalika kitaifa na kimataifa  picha na maelezo na Albano Midelo
 
Picha hii imepigwa katika kijiji cha Mpapa Lupilichi mkoa wa Lichinga,milima inayoitwa Sufuri A ndiyo chanzo cha mto Lunyere ambapo wachimbaji wa madini wamekuwa wanatumia vyanzo hivyo vya maji kusafishia udongo wenye dhahabu kwa kutumia zebaki na kusababisha uchafuzi hivyo kuathiri viumbe hai katika nchi ya Tanzania ambako mto huo unapita na kuungana na mto Ruvuma kisha kumwaga maji yake Bahari ya Hindi maelezo na picha kwa hisani ya Albano Midelo.
MAENDELEO NI VITA Unknown at 2:44:00 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Karibu Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Songea

Karibu Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Songea
Ni makumbusho ya Taifa pekee nchini unayoweza kuona vitu halisi

Marais waliotupitisha katika vita ya maendeleo

Marais waliotupitisha katika vita ya maendeleo
Marais wa Tanzania kuanzia awamu ya pili,tatu,nne na sasa awamu ya tano

Total Pageviews

Utajiri wa Gesi asilia Tanzania

Utajiri wa Gesi asilia Tanzania
Hapa ni Mnazibay Mtwara ambako kumegundulika kiwango kikubwa cha gesi asilia ambacho kinaweza kuingiza Tanzania katika uchumi wa kati mwaka 2025

Ndege mwenye uwezo wa kuruka hadi Ulaya

Ndege mwenye uwezo wa kuruka hadi Ulaya
Ndege anayepatikana katika hifadhi ya Taifa ya Kitulo Makete Tanzania ana uwezo wa kuruka hadi barani ulaya

Kitabu kwa ajili ya watanzania wote

Kitabu  kwa ajili ya watanzania wote
Hakikisha kila familia inapata nakala moja ya kitabu cha NEEMA YA MAFUTA NA GESI TANZANIA wasiliana kwa simu 0784765917 au 0763885442

Kitabu kipya cha VITA KUU YA TATU YA DUNIA INAKUJA

Kitabu kipya cha VITA KUU YA TATU YA DUNIA INAKUJA
Agiza nakala yako ya kitabu kipya cha VITA KUU YA TATU YA DUNIA INAKUJA.KITABU HICHO KIPO MBIONI KUTOKA wasiliana na namba 0784765917

Tuzo ya kitaifa mwaka 2012/2013

Tuzo ya kitaifa mwaka 2012/2013
Mmiliki wa mtandao wa MAENDELEO NI VITA Bw.Albano Midelo aliposhinda Tuzo za kitaifa za TANAPA na kuwa mshindi wa kwanza kwenye magazeti.Alitunukiwa cheti,ngao,fedha shilingi milioni 1.5 pamoja na kupata mafunzo ya uhifadhi katika nchi za SADC

Usafi wa mazingira iwe ni dhamira

Usafi wa mazingira iwe ni dhamira
Rais wa awamu ya tano Dk.John Magufuli anaonesha mfano halisi,tumuunge mkono kwa vitendo

Mabadiliko ya tabianchi yataangamiza Dunia

Mabadiliko ya tabianchi yataangamiza Dunia
Dunia ipo njia panda kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambayo yamesababisha joto kuongezeka kwa kiwango cha kutisha,tutaangamia

Fukwe bora Duniani zipo ziwa Nyasa

Fukwe bora Duniani zipo ziwa Nyasa
Ziwa Nyasa linaongoza kwa kuwa na maji maangavu Duniani.Lakini ndiyo ziwa lenye fukwe bora,kama unavyoona fukwe za ukanda wa Mbambabay wilayani Nyasa.
MAENDELEO NI VITA. Picture Window theme. Powered by Blogger.