MJI wa Songea unakabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa umeme ,hali hiyo imechangia kwa kiwango kikubwa kushusha maendeleo ya mji huo.Hali hiyo imewasukuma wakazi wa Songea kufanya maandamano yaliongozwa na Chama Cha Maendeleo na Demokrasia CHADEMA.Katika maandamano hayo wakazi wa Songea walibeba mabango mbalimbali pamoja na kuwasha taa,mishumaa na kuwasha jenerata ambalo lilibebwa na vijana huku likiunguruma.Maelezo na picha na Albano MideloMonday, May 7, 2012
Songea waandamana kudai umeme
MJI wa Songea unakabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa umeme ,hali hiyo imechangia kwa kiwango kikubwa kushusha maendeleo ya mji huo.Hali hiyo imewasukuma wakazi wa Songea kufanya maandamano yaliongozwa na Chama Cha Maendeleo na Demokrasia CHADEMA.Katika maandamano hayo wakazi wa Songea walibeba mabango mbalimbali pamoja na kuwasha taa,mishumaa na kuwasha jenerata ambalo lilibebwa na vijana huku likiunguruma.Maelezo na picha na Albano Midelo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment