| Hiki ni miongoni mwa vyumba vya madarasa ambavyo vinatumiwa na shule ya msingi Ndonga iliyopo wilayani Nyasa mkoani Ruvuma.Wanafunzi wanasoma katika darasa hili kwa mwaka mmoja sasa huku shule ikiwa haijakaguliwa tangu mwaka 1995,asilimia 90 ya wanafunzi wanaosoma katika shule hii hawana viatu.Shule ina wanafunzi 309 .Picha na maelezo na Albano Midelo |
No comments:
Post a Comment