| Hapa ni mwalimu mkuu wa shule ya msingi Ngumbo wilayani Nyasa mkoani Ruvuma akimwonyesha mwandishi nyumba ya mwalimu ambapo walimu wengine katika shule hiyo hawana kabisa nyumba,Hali hii inasababisha walimu wengi kukata tamaa na kuona kuwa kazi ya ualimu ni adhabu na haina thamani,hii ni changamoto kwa wadau wote wa elimu kubadilika kifkra na kimtazamo ili walimu waonekane kuwa ni watu muhimu katika nchi hii vinginevyo hata elimu ikitolewa bure kuanzia shule ya msingi hadi sekondari kama walimu hawatathaminiwa ni kazi bure |
No comments:
Post a Comment