Tuesday, January 18, 2011

Pomonda jiwe ambalo vivutio vyake havifanani na mahali popote duniani

Jiwe la Pomonda lililopo mita 300 ndani ya ziwa  kutoka bandari ya Liuli  mwambao mwa ziwa Nyasa,ukiachia kuwa ni jiwe la kihistoria kwa kuwa lilitumika na askari katika vita vya kwanza vya dunia na vita vya pili vya dunia kujificha kwenye ukumbi unaoweza kuchukuwa kati ya watu 80 hadi 100,jiwe hilo pia lina taa ambayo ilikuwa inatumika kuongozea meli za nchi tatu yaani Tanzania,Msumbiji na Malawi,jiwe la Pomonda ni eneo amblo lina aina 120 za samaki wa mapambo pamoja na vivutio vingine kibao picha na Albano Midelo

No comments:

Post a Comment