Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Wednesday, January 26, 2011
Samaki mwenye maajabu ziwa Nyasa ana uwezo wa kukausha mti mbichi kwa siku saba
Samaki aina ya ngogo ambaye anapatikana ziwa Nyasa, licha ya kuwa samaki wa mapambo ana vivutio vya kipekee ikiwemo uwezo wa kukausha mti mkubwa mbichi kwa wiki moja,akimezwa na samaki wakubwa anaendelea kuwa hai akiwa tumboni na kumuua samaki aliyemmeza kisha kutoka nje na kuendelea na maisha,iwapo umechomwa na mwiba wake kuna uwezekano mkubwa wa kukatwa mguu au mkono kutokana na sumu kalipicha na maelezo na Albano Midelo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment