Wednesday, February 2, 2011

Chanzo cha maji cha mto Ruvuma hatarini

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dk.Christine Ishengoma akiangalia maji kwenye chanzo cha mto Ruvuma kilichopo kwenye milima ya Matogoro mjini Songea,chanzo hicho kipo katika hatari kutokana na uharibifu wa mazingira ambao umefanyika kuzunguka eneo hilo,hata hivyo uongozi wa serikali ya mkoa wa Ruvuma umechukua hatua za kukinusuru chanzo hicho ambacho pia ni kivutio adimu cha utalii.

No comments:

Post a Comment