Wednesday, February 2, 2011

Uchomaji moto ovyo katika msitu wa Matogoro unaleta athari kubwa za kimazingira

Sehemu ya msitu katika milima ya Matogoro Songea ambayo inaathiri vyanzo vya maji vya mto Ruhila ambavyo hutegemewa na mamlaka ya Maji safi na maji taka Songea SOUWASA kwa ajili ya kusambaza maji kwa wakazi wa mji wa Songea

No comments:

Post a Comment