Wednesday, February 2, 2011

Waziri wa maliasili na utalii ndani ya makumbusho ya Taifa ya Majimaji

Waziri wa  maliasili na utalii Ezekie Maige aliyefungwa mgololo wa jadi  ndani ya viwanja vya makumbusho ya Taifa ya Majimaji Songea akisakata ngoma ya jadi  ya kabila la wangoni

No comments:

Post a Comment