Tuesday, March 1, 2011

Baadhi ya mambo muhimu yaliojiri siku ya kumbukizi ya vita vya Majimaji mjini Songea

picha inamuonesha waziri wa utalii na maliasili Ezekiel Maige aliyefungwa mgololo mweupe mara baada ya kuzindua mnara wa mashujaa wa vita vya majimaji kulia kwake ni katibu mkuu wa wizara ya maliasili na utalii Dk.Ladislaus Komba,aliyetangulia mbele ni mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dk.Christine Ishengoma .
Baadhi ya wakazi wa Songea wakifuatilia kwa makini siku ya mashujaa wa vita vya majimaji
Baadhi ya wakazi wa mji wa Songea ambao wanacheza ngoma maarufu ya kabila ya wangoni wakiwa ndani ya eneo ambalo umejengwa mnara wa kisasa wa mashujaa wa vita vya majimaji
Baadhi ya askari wa jeshi la wananchi wa watanzania JWTZ wakitoa heshima zao kwenye mnara mpya wa mashujaa wa vita vya Majimaji uliojengwa nyuma ya ukumbi wa Songea klabu picha na Albano Midelo

No comments:

Post a Comment