TOP ONE IN ni hoteli ya kisasa yenye hadhi ya kitalii iliyopo Msamala mjini Songea mkoani Ruvuma kando kando mwa barabara kuu ya Songea-Njombe.Top one inn ina wahudumu wenye sifa za kuhudumia watu wa mataifa mbalimbali.
TOP ONE IN ni hoteli ambayo inatoa huduma bora za vyakula na vinywaji sanjari na malazi bora katika vyumba vya kisasa (self contained) vyenye huduma muhimu za mawasiliano ya kisasa ya simu,intaneti pamoja na sehemu ya kuegeshea magari na ulinzi wa uhakika wakati wote.
TOP ONE INN ina chuo cha kisasa kiitwacho Top one inn VTC cha bweni na kutwa kilichosajiliwa chini ya VETA kinachotoa mafunzo katika ngazi ya cheti katika fani za Hotel management,secretarial course,English Course, Tourism,Procurement and supplies,computer,communication skills,Enterpreniurship na Life skills.
Sifa za kujiunga na chuo ni elimu ya kidato cha nne na kuendelea fomu za kujiunga zinapatikana chuoni na ada yake ni nafuu mno ili kuwawezesha wazazi na walezi wote kumudu kulipia.
TOP ONE INN ina ukumbi na vifaa vya kisasa kwa ajili ya mazoezi ili kuimarisha afya yako.Wananchi wote wakiwemo watumishi ambao wanapenda kuimarisha afya zao mnatangaziwa kufika katika hoteli ya TOP ONE INN yenye vifaa lukuki vya GYM kwa ajili ya mazoezi kwa bei nafuu.Kumbuka TOP ONE INN KWA AFYA BORA
Kwa mawasiliano zaidi ya chuo,hoteli na GYM piga simu 0784353672 AU 0754353672 AU 0764198719 FAX 0252602631
BARUAPEPE vtctop@yahoo.com AU ANDIKA BARUA KWA MKUU WA CHUO CHA TOP ONE INN S.L.P 761 SONGEA. NYOTE MNAKARIBISHWA.
No comments:
Post a Comment