Thursday, March 10, 2011

Kiafya mazingira kama haya ni hatari kwa watoto wadogo wanaweza kupata magonjwa mbalimbali

Mwandishi aliwakuta watoto wadogo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wakiokota vyakula ambavyo vimetupwa katika jalala ambalo lipo jirani kabisa na kituo cha mabasi cha mjini Namtumbo.Watoto walikutwa katika eneo hilo majira ya saa2.30 asubuhi hali hii inaonesha wazazi wa watoto hao wapo likizo katika kuwahudumia watoto wao picha na Albano Midelo  

No comments:

Post a Comment