Thursday, March 10, 2011

Mazingira ya kusomea ya namna hii katika ulimwengu wa sasa wa utandawazi ni hatari

Hawa ni wanafunzi wa darasa la tatu katika shule moja  ya msingi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma ambayo mwandishi aliwakuta wanasoma wakiwa wanakaa chini .Mazingira kama haya katika utoaji wa elimu bora hayafai na inatakiwa wahusika wachukue hatua za haraka vingine Taifa la kesho litakosa uelekeo na kuongeza umaskini kwa kuwa wanafunzi hawa kwa vyovyote vile watakosa elimu bora picha na Albano Midelo

No comments:

Post a Comment