Picha inamuonesha waziri wa elimu mstaafu na mbunge wa Njombe wa siku nyingi Jakson Makweta kulia akitoa historia ya chifu Mkwawa wa kabila la wahehe anayesikiliza kwa makini ni mbunge wa viti maalum wanawake mkoa wa Ruvuma Injinia Stella Manyanya pamoja na mhifadhi kiongozi wa makumbusho ya Taifa ya Majimaji Philipo Maligissu picha na Injinia Stella Manyanya.
No comments:
Post a Comment