Kijiji cha Lilondo wilayani Songea mkoani Ruvuma kinaoongoza kwa kuwa na ndizi nyingi
Aina mbalimbali za ndizi ambazo zinapatikana katika kijiji cha Mkongotema wilayani Songea mkoani Ruvuma,,ndizi hizo zimetoa ajira kwa wanawake wengi wa kijiji hicho hali ambayo imesababisha kupata maendeleo makubwa kiuchumi picha na Injinia Stella Manyanya.
Lilondo! duh umenikumbusha mbali sana mara ya kwanza naingia Lilondo na matetereka ilikuwa mwaka 1991 nilibaki mdomo wazi kabisa kwa uwingi wa ndizi. Basi siku hiyo nikatakja kununua ndizi. Na bei yake ndo nikataka kuzimia kabisa ilikuwa ndizi tatu shilingi tano hakika nilishangaa sana. Ila si uwongo Matetereka na Lilondo kuna ndizi na za killa aina. Ahsante sana kwa kunipeleka tena mpaka makazi yangu ya zamani. MUHONGISE BEEE!!
ReplyDelete