Friday, April 1, 2011

Mimba za utotoni katika ukanda wa kusini zitafutiwe ufumbuzi wa kudumu

Mbunge wa viti maalum wanawake mkoa wa Ruvuma mwandisi Stella Manyanya akiwa na wadau mbalimbali wa elimu akiwemo mkuu wa mkoa mstaafu Dk.Christine Ishengoma walipotembea kilometa tisa kukemea mimba za utotoni ambazo zimekuwa tatizo katika mkoa wa Ruvuma,matembezi hayo pia yalikuwa na lengo la kuhamasisha ujenzi wa mabweni kwa wasichana takwimu zinaonesha kuwa mwaka jana wasichana 400 mkoani Ruvuma walipata ujauzito shule za msingi na sekondari hivyo kushindwa kuendelea na masomo picha na Albano Midelo

No comments:

Post a Comment