Friday, April 1, 2011

Mama ni nguzo ya familia jamii inatakiwa kubadilika ili kuwasaidia

Picha inamuonesha mama mmoja kutoka katika wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma akikabiliwa na majukumu mazito kama anavyoonekana katika picha hii.Ingawa mama huyu anakabiliwa na changamoto mbalimbali bado anaonekana mwenye furaha picha na Injinia Stella Manyanya.

No comments:

Post a Comment