Thursday, April 21, 2011

Kilimo cha Ngoro kwenye milima ya Umatengo wilayani Mbinga

Mbunge mstaafu wa jimbo la Mbinga magharibi Ngwatura Ndunguru akielezea kuhusu kilimo cha Ngoro wilayani Mbinga mkoani Ruvuma ambacho kilianzishwa miaka 300 iliyopita na wakulima wa kabila la wamatengo lengo likiwa ni kuhifadhi ardhi na kuepusha mmomonyoko wa udongo  wakulima kutoka mikoa mbalimbali nchini wanakwenda wilayani Mbinga kujifunza kilimo hicho picha na Albano Midelo.
Picha inaonesha kilimo cha Ngoro kwenye milima ya Umatengo wilayani Mbinga mkoani Ruvuma kinavyoonekana na kuwa kivutio cha utalii wa kiutamaduni picha na Albano Midelo

2 comments:

  1. Shukrani kwa picha na taarifa. Mimi ni mwenyeji wa Litembo, na nimevutiwa nazo. Nami najaribu jaribu kuelezea mambo haya ya kwetu. Kwa mfano, soma hapa.

    ReplyDelete
  2. Asante kwa kufuatilia nimefurahi sana pia mimi nimesoma inaleta raha sna

    ReplyDelete