Saturday, April 23, 2011

Ziwa Nyasa linaongoza kwa kuwa na maji meupe na masafi kuliko maziwa yote duniani

Picha inaonesha fukwe nzuri katika eneo la Kihagara ziwa Nyasa mkoani Ruvuma,ziwa Nyasa linaaminika kuwa ndiyo ziwa ambalo linaongoza kwa kuwa na maji meupe na masafi kuliko maziwa yote ulimwenguni.Usafi wa maji katika ziwa hilo ndiyo ambao unaelezwa ulimsukuma Dk.Livingstone mwaka 1776 kufanya ziara katika mwambao mwa ziwa Nyasa Dk.Livingstone akiwa katika ziara hiyo aliishi  bandari ya Mbamba Bay ziwa Nyasa kwa siku 48.Picha na maelezo na Albano Midelo.

No comments:

Post a Comment