Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Tuesday, May 10, 2011
Hongera idara ya zimamoto manispaa ya Songea
Picha inaonesha baadhi ya wafanyakazi wa idara ya zimamoto katika manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakionesha umahiri wao katika uzimaji moto kwenye uwanja wa michezo wa Majimaji.Idara hiyo hivi sasa inavifaa vya kisasa ikiwa ni pamoja na gari la zimamoto lenye uwezo wa hali wa hali ya juu katika kukabiliana
na janga la moto picha na maelezo na Albano Midelo
Picha inamuonesha mjumbe wa Bodi ya utalii katika mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni mbunge wa viti maalum mkoa wa Ruvuma Injinia Stella Martin Manyanya akitabasamu baada ya kufanikiwa kufika katika chanzo cha mto Ruvuma kiichopo kwenye milima ya Matogoro mjini Songea .Mto huo ambao umeanzia kwenye milima hiyo ni moja ya mito mikubwa hapa nchini ambao unamwaga maji yake katika Bahari ya Hindi picha na maelezo na Albano Midelo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment