Maendeleo ni Vita

Pages

  • Makala za uchunguzi
  • Makala za utalii
  • Makala za Elimu
  • Makala za mazingira
  • Makala za kijamii
  • Habari katika picha

Tuesday, May 10, 2011

Pango la Chandamali Songea kivutio cha utalii wa kihistoria na kishujaa

Picha inamuonesha Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dk.Christine Ishengoma akiwa ameketi juu ya jiwe la Chandamali mahali ambapo Chifu wa kabila la Kingoni Nduna Songea Mbano alitumia kujificha wakati anapambana na wakoloni wa kijerumani pia alitumia pango hilo kupanga mbinu za kivita akiwa na wafuasi wake picha na Albano Midelo

PIcha hii inawaonesha wadau mbalimbali wa utalii kutoka wilaya zote za mkoa wa Ruvuma walipotembelea katika Pango la Chandamali lenye utalii wa kihistoria na kishujaa hususani vita vya Majimaji ambavyo vilipiganwa kusini mwa Tanzania picha na maelezo na Albano Midelo.

MAENDELEO NI VITA Unknown at 5:00:00 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Karibu Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Songea

Karibu Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Songea
Ni makumbusho ya Taifa pekee nchini unayoweza kuona vitu halisi

Marais waliotupitisha katika vita ya maendeleo

Marais waliotupitisha katika vita ya maendeleo
Marais wa Tanzania kuanzia awamu ya pili,tatu,nne na sasa awamu ya tano

Total Pageviews

Utajiri wa Gesi asilia Tanzania

Utajiri wa Gesi asilia Tanzania
Hapa ni Mnazibay Mtwara ambako kumegundulika kiwango kikubwa cha gesi asilia ambacho kinaweza kuingiza Tanzania katika uchumi wa kati mwaka 2025

Ndege mwenye uwezo wa kuruka hadi Ulaya

Ndege mwenye uwezo wa kuruka hadi Ulaya
Ndege anayepatikana katika hifadhi ya Taifa ya Kitulo Makete Tanzania ana uwezo wa kuruka hadi barani ulaya

Kitabu kwa ajili ya watanzania wote

Kitabu  kwa ajili ya watanzania wote
Hakikisha kila familia inapata nakala moja ya kitabu cha NEEMA YA MAFUTA NA GESI TANZANIA wasiliana kwa simu 0784765917 au 0763885442

Kitabu kipya cha VITA KUU YA TATU YA DUNIA INAKUJA

Kitabu kipya cha VITA KUU YA TATU YA DUNIA INAKUJA
Agiza nakala yako ya kitabu kipya cha VITA KUU YA TATU YA DUNIA INAKUJA.KITABU HICHO KIPO MBIONI KUTOKA wasiliana na namba 0784765917

Tuzo ya kitaifa mwaka 2012/2013

Tuzo ya kitaifa mwaka 2012/2013
Mmiliki wa mtandao wa MAENDELEO NI VITA Bw.Albano Midelo aliposhinda Tuzo za kitaifa za TANAPA na kuwa mshindi wa kwanza kwenye magazeti.Alitunukiwa cheti,ngao,fedha shilingi milioni 1.5 pamoja na kupata mafunzo ya uhifadhi katika nchi za SADC

Usafi wa mazingira iwe ni dhamira

Usafi wa mazingira iwe ni dhamira
Rais wa awamu ya tano Dk.John Magufuli anaonesha mfano halisi,tumuunge mkono kwa vitendo

Mabadiliko ya tabianchi yataangamiza Dunia

Mabadiliko ya tabianchi yataangamiza Dunia
Dunia ipo njia panda kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambayo yamesababisha joto kuongezeka kwa kiwango cha kutisha,tutaangamia

Fukwe bora Duniani zipo ziwa Nyasa

Fukwe bora Duniani zipo ziwa Nyasa
Ziwa Nyasa linaongoza kwa kuwa na maji maangavu Duniani.Lakini ndiyo ziwa lenye fukwe bora,kama unavyoona fukwe za ukanda wa Mbambabay wilayani Nyasa.
MAENDELEO NI VITA. Picture Window theme. Powered by Blogger.